Ukiusikia ukweli wowote, kabla ya kuusema, kwanza jiulize, je, ni lazima useme kila kitu tunachokisikia au kwanza tutangulize ...
Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Ustawi wa Jamii wameitaja Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kama darasa la utoaji wa ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema kama sekta ya bima nchini itaendelea kufanya kazi kwa ...
Aprili 2022, alihukumiwa kifungo cha miaka 24 gerezani baada ya kukiri makosa 18, ikiwa ni pamoja na kukufuru na uchochezi.
Wawili hao pamoja na wafuasi wao wamekuwa wakitupiana maneno, kila upande ukijaribu kuonyesha uzuri wa mgombea wao huku ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu 173 kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu ikiwemo usafirishaji wa nyara za ...
Mtalii mmoja raia wa Israel ambaye jina lake halijafahamika (mwanamke) amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa ...
Wakati uchaguzi wa wabunge ukitarajiwa kufanyika nchini Ujerumani Februari 23, 2025, Serikali ya nchi hiyo imemshutumu ...
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero (DC), Dunstan Kyobya amesema Serikali haitawafumbia macho watu watakaohusika kudhoofisha jitihada za kulinda na kuhifadhi pori la akiba Kilombero ambalo ni ...
Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii bila shaka utakuwa unafahamu mizaha (Pranky) ya watengeneza maudhui yasiyofaa kwa lengo la kupata ufuatiliaji kwa watumiaji.
Wakati ugonjwa wa kipindupindu ukitajwa kuwapo katika halmashauri tatu za Mkoa wa Mbeya, mkuu wa mkoa huo, Juma Homera ametoa maelekezo kwa wakuu wa wilaya na kamati za afya.