News

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, inakusudia kuweka mashine maalumu ya ukaguzi wa mizigo katika magari ...
Taasisi ya Jerusalem imeandaa mbio maalumu za hisani kwa lengo la kuchangisha fedha zitakazosaidia malezi ya watoto wachanga ...
Kongamano la uwekezaji wa biashara changa bunifu la Tanzania Impact Investment Forum 2025 (TIIF) litatoa fursa kwa biashara ...
Wanawake 100 nchini wanatarajiwa kupelekwa China kwenda kujifunza teknolojia ya uzalishaji, ujasiriamali, masoko, namna ya ...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kilimanjaro, Idrisa Moses amemwandikia barua Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), akimuomba ...
Beki wa kati wa Real Madrid, Antonio Rudiger huenda akakumbana na adhabu kali kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu ...
Sababu halisi iliyomfanya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, kupata nafasi ya kukaa mstari wa mbele katika mazishi ya Papa ...
Wafanyabiashara wa Soko la Michakaini, Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba, wameiomba Serikali kuwasaidia kutafuta njia mbadala ...
Baraza la Manispaa ya Magharibi A limewaondoa wafanyabiashara wadogo wadogo kando ya barabara eneo la Mtopepo, Mkoa wa Mjini ...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema jitihada za wadau mbalimbali zinapaswa kuendelezwa ili ...
Wakati Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ikitimiza miezi minane tangu kuanzishwa rasmi wa kitengo cha upandikizaji mimba ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ameagiza wakuu wa mikoa na ...