Mhalifu wa kivita aliyetiwa hatiani, Thomas Lubanga ametangaza kuanzisha kundi jipya la waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).