News

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, inakusudia kuweka mashine maalumu ya ukaguzi wa mizigo katika magari ...
Mkazi wa Mtaa wa Bomba la Zambia, Kata ya Kingolwira, Manispaa ya Morogoro, Abina Kiasi (47) na familia yake wamejifungia ndani kwa siku mbili baada ya nyuki kuvamia nyumba na kutengeneza ...
Taasisi ya Jerusalem imeandaa mbio maalumu za hisani kwa lengo la kuchangisha fedha zitakazosaidia malezi ya watoto wachanga ...
Kongamano la uwekezaji wa biashara changa bunifu la Tanzania Impact Investment Forum 2025 (TIIF) litatoa fursa kwa biashara ...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kilimanjaro, Idrisa Moses amemwandikia barua Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), akimuomba ...
Wanawake 100 nchini wanatarajiwa kupelekwa China kwenda kujifunza teknolojia ya uzalishaji, ujasiriamali, masoko, namna ya ...
Sababu halisi iliyomfanya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, kupata nafasi ya kukaa mstari wa mbele katika mazishi ya Papa ...
Beki wa kati wa Real Madrid, Antonio Rudiger huenda akakumbana na adhabu kali kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu ...
Baraza la Manispaa ya Magharibi A limewaondoa wafanyabiashara wadogo wadogo kando ya barabara eneo la Mtopepo, Mkoa wa Mjini ...
Wafanyabiashara wa Soko la Michakaini, Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba, wameiomba Serikali kuwasaidia kutafuta njia mbadala ...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema jitihada za wadau mbalimbali zinapaswa kuendelezwa ili ...
Ili kukabiliana na maradhi yasiyoambukiza kisiwani Zanzibar, wananchi wamehimizwa kupunguza matumizi ya vyakula vyenye mafuta mengi, sukari na chumvi kupita kiasi.